Sunday, April 13, 2014

Muhidin Gurumo (aliyekuwa Msondo Ngoma) afariki dunia!

Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi nchini na afrika mashariki Gurumo afariki dunia,.


Pole ziwafikie wapenzi wote na mashabiki!!


R.I.P Gurumo

Makamu wa Rais Dk. Bilal, Kova, Mkuu wa Mkoa wa Dar na Dk. Magufuli wanusurika ajali ya helikopta

Katika kukagua uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa katika Jiji la Dsm, Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, Dk.John Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Meck Sadiki na Afande Kova wamenusurika ajali ya helikopita iliyotokea leo Jijini Dsm.

Jamani tumuombe mwenyezi Mungu awalinde hawa viongozi wetu wapendwa waliokuwa katika kuwatumikia watanzania. Natoa baadhi ya picha za helikopita hiyo ikizimwa moto:

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657