Yanga SC imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi
Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hiyo,
taarifa hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla.
Zahera
amefutwa kazi Yanga baada ya kuiongoza timu hiyo kwa jumla ya michezo
63 toka alipojiunga na Yanga April 2018, Zahera ameshinda michezo 32 na
amepoteza michezo 21 sare mechi 10.
Ndani ya msimu wa 2018/2019
Zahera ameiongoza Yanga kucheza jumla ya michezo 10 na kushinda mitatu,
kufungwa 4 na sare michezo mitatu, mkataba wa Zahera na Yanga ulikuwa
unamalizika September 2020.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MASHINE ZA UMWAGILIAJI
PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657

-
Yanga SC imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hi...
-
MSEMAJI wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Glory Mziray hivi karibuni alisema Mkoa wa Njombe, Mbeya na Iringa ni vinara wanaoo...
No comments:
Post a Comment