Video ya bila kukunja goti kuanza kuonyeshwa katika chaneli kubwa za muziki Afrika
Video mpya ya wakongwe wa muziki FA na AY -Bila kukunja goti. Inatarajiwa kutokasiku yeyote kuanzia kesho.Video iyo iliyo fanyika nchini South Africa chini ya kampuni
ya Godfather na kwa mujibu wa maelezo ya AY na FA wamesha kamilisha process ya kuzisambaza
katika vituo vikubwa vya televisioni kama mtv base,Chanel o,Trace pamoja na sound city na video
iyo imepitishwa tayari kwa kuchezwa baada ya kuonekana kufikia viwango vyate.
No comments:
Post a Comment