Sunday, March 23, 2014

Picha: Msichana atapika pesa,vyupa,misumari,mayai na pini kanisani,Ghana….

MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini akiwa kanisani nchini Ghana
.
 Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za kishirikina.

No comments:

Post a Comment

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657