Sunday, March 16, 2014

Timu ya Yanga yapata ajali Mikese



YANGA WANUSURIKA: Wachezaji wa Timu ya Yanga na viongozi wanusurika asubuhi hii kufuatia basi lao kuingia kwenye mtaro Mikese, Morogoro, wote wako salama.

Ikumbukwe Yanga jana jioni walishuka katika dimba la Jamhuri mjini Moro kuvaana na wana tam tam Mtibwa Sugar ya Manungu. Mechi ambayo iliisha kwa suluhu ya bila kufungana.

No comments:

Post a Comment

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657