Sasa si siri tena wachaga sasa hivi wameahamia ktk kuajiri wahindi na wachina na si wakenya waganda ai watu wengine wasio na tofauti sana na watanzania.
Sababu za msingi ni hizi: -Wahindi/wachina wanachukua msahara mdogo,hawana ndugu wala jamaa na mrafiki wengi hapa kwa hiyo sijui vikao vya send off, mazishi,mgonjwa (jirani,nyumba ndogo,ndugu etc) , sijui issue za saccos,sijui kupokea mgeni katoka mkoani etc hakuna.
Hawa jamaa wanahesimu sana waajiri wao na kila dkk wanajua inawasaidia kujua kazi zaidi na zaidi na kuongeza CV itakayo msaidia hata kairudi kwao wani pengine kwao asingepata huo uzoefu kirahisi.
Hawa jamaa wanajitahidi sana kubana matumizi na hivyo kujiepusha sana na anasa, na hupenda kukaa karibu kabisa na maeneo ya kazi ili wakipiga overtime basi baadaye wanarudi ktk malazi na hiyo ku save kiasi kikubwa cha kutuma nyumbani.
Watanzania huwa wanaingi kazini saa 3 hawajanywa chai wanawasha comp wanakwenda kunywa chai, wanakuja kuongelea mechi za jana,matukio ya siasa, na mapenzi,na issue za majirani, na kusubiriana ktk chai wapendavyo, hapo ni lunch time,wakitoka wanakwenda ktk issue binafsi, mihad,..kulipia sijui umeme,kupokea mgeni, ...etc.bila hata kula wanakuja na chakula..wakiingia wanakula kwanza hapo ni saa 9 na..baadae wanakumbuka kuwa kuna kikao cha harusi..na kupita sokoni au kupokea mgonjwa etc....wanacheki mwendo wakutoka..siku imekwisha.
Watanzania pia ni wezi na wanapoteza muda mrefu kupunguza ufanisi na vyama vya wafanyakazi ili kukushinikiza kuongeza mshahara,huku wakipoteza muda mwingine ktk mitandao ya kijamii..wakitumia computer na printer za office kuprint vitu binfasi vikiwepo kadi za michango , barua binafsi picture ,mistari ya nyimbo,hotuba na materials kwa mitihani ya bdu ya uhasibu etc.
Wakenya nao hufikiria sana jinsi gani ya kukutumia km ngazi ya kupata kazi bora zaidi,a ukuhamisha wateja na kuwapeleka kenya kwa wenzao ili wapate commion km hana kampuni ya mkononi na baaae huamia mitaani n akuwa wapinzani wako. -waganda nao km wnegine pia ufanisi wao ni wa chini km wa watanzania na wengi ni matapei sana..huku wakiangali namna ya kukutumi kmm ngazi ya kwenda kutapeli mbali zaidi..huku wizi ukiwa ni part and parcel... Kwa ujumla east africa ni wezi sana,wengine wavivu,wa siasa sana kazini.
Kwa wale wenye kuwachukia wachaga sana,na kuwaita wakabila wajue wenzao sasa hivi hawapo tena ktk undugunization,km ndugu hawezi kazi basi subiri kupewa sadaka tuu hadi akili imrudie.Na waswahili bala blah..kazini kujidai wanajua pangua hoja kwa kuongea maneno ya kurudiarudia wajue budia imebadilika.
Pengine ningependa tuu serikali ilegeze masharti ili makampuni madogo yaweze pata unafuu huu wa nguvu kazi ila yahakikishe kuwa watu wao wanalipiwa vibali,na wanaondoshwa nchini mara mikataba inaisha.Hii itasaidi maampuni madogo ya wazawa.ambayo hayawezi afford hasara ya wizi,hazara ya uzembe,hasara ya uzalishaji wa kusuasua.
Hasara yahujuma toka kwa watanzania wengine.Pia hii itasaidia kupata technologia mpya kwa hawa jamaa ambao wameshindwa pata kazi kwao ila waanchojua kwetu hakuna.wao pia watafurahi kuwa wanapata nafsi ilamwisho wa siku watanzania nao watajifunza na kubadilika kw akiasi cha kurudisha trend nyuma..ili kuweza fiti ktk survival for the fittest. -
Mimi ni mwekezaji mdogo ,napata faida nikiajiri hawa watu ,napata return of investment ya kutosha na kupunza siasa na matatizo ya ukabila,sijui udini , sijui kuwa sina huruma..etc.. Kwa leo ni hayo:
Ritz wa makelele karibu na wakabila+wadini wenzenu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MASHINE ZA UMWAGILIAJI
PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657

-
Yanga SC imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hi...
-
MSEMAJI wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Glory Mziray hivi karibuni alisema Mkoa wa Njombe, Mbeya na Iringa ni vinara wanaoo...
No comments:
Post a Comment