Sunday, March 16, 2014

Zaidi ya asilimia 90 ya watanzania wanalala stoo najua utabisha soma hapa

Utafiti uliofanyika hivi punde unaonyesha zaidi ya 90% ya WATANZANIA

wanalala stoo,

Haiwezekani chumba cha kulala kuna

ndoo za maji ya kuoga ,ndoo za maji ya kunywa, ,Sufuria za kupikia,

Jiko la kupikia, mkaa,Sofa,TV, Dressingtable, Sabufa, Friji, kabati, kitanda, Kopo la kuogea, Jiwe la kusugulia miguu,Ndala, Viatu, N.K. Mnasemaje wenzangu siyo stoo hiyo?

No comments:

Post a Comment

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657