Leo May 3, 2018 Shirika la Majisafi na Majitaka DSM (DAWASCO),
ambapo limesema linatarajia kuokoa takribani Shilingi Milioni 200 kila
mwezi, kufuatia kuanza kutumia mfumo mpya wa Kielektroniki wa Malipo wa
Serikalini (GePG).
Hayo yamebainishwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja ambapo amesema utaratibu huo unaanza leo
No comments:
Post a Comment