Friday, August 21, 2015

Collabo ya Diamond Platnumz na Ne-yo yafanyika…

Macho na masikio ya mashabiki wa Diamond ilikuwa ni kuona Diamond Platnumz nae anafanya Collabo na Ne-yo…Jambo hilo limekamilika jana na tayari Diamond Platnumz wameandaa ngoma ambayo inasemekana itakuwa hit song

 Kupitia Mtandao wa Instagram Diamond ameandika “Thanks alot my Brother @neyo and the Whole Compound Crew had a great Session, and it was realy nice working with you…can’t wait for the World to hear this Hit Song!! @Diamondplatnumz ft @neyo ….. Cc @sheddyclever @Compoundu @thecorpshow @Jullianl #AfricaTotheWorld

No comments:

Post a Comment

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657