Friday, August 21, 2015

Navy Kenzo Feat. Vanessa Mdee imegusa hapa kwenye Countdown ya Radio Nigeria…

Siku zote huwa nafurahishwa sana pale ninapoona watu wangu kutoka Tanzania wanazidi kufanya vizuri kimuziki, sio siri wasanii wetu wanafanya sana kazi na kwa bidii, kazi ambazo zinapata mapokezi mazuri kwenye countdown mbalimbali za radio Africa

 Good news kwako mdau wangu wa nguvu, nimepita kwenye mtandao wa Twitter na nimekutana na post ya @The Beat 99.9 FM ya Lagos Nigeria na kwenye #AfricanTop10 countdown yao wimbo kutoka Tanzania ‘Game’ wa watu wetu Navy Kenzo waliomshirikisha Vanessa Mdee umeshika nafasi ya #1 wiki hii

No comments:

Post a Comment

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657