Thursday, July 14, 2016

MAMLAKA YA BANDARI YAJIPANGA KUKUSANYA TRILIONI 1 KWA MWAKA

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA Mhandisi Deusdedit Kakoko, alipokuwa akifafanua kuhusu taratibu zinazochukuliwa na bandari hiyo ili kuhakikisha inakuwa na ushindani na bandari nyingine duniani

Amesema mamlaka hiyo imeanza kubadilisha mifumo mbalimbali hasa ile ya TEHAMA ambayo ilikuwa inachangia sana katika upotevu wa mizigo ya wateja bandarini pia kubadilisha miundo ya ufanyaji kazi na kuweka miundo mipya ya ufanyaji kazi katika bandari hiyo

 

 

No comments:

Post a Comment

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657