Saturday, July 30, 2016
Wednesday, July 27, 2016
Friday, July 15, 2016
JUMLA YA OMBAOMBA 60 WAKAMATWA DAR ES SALAAM
Jumla ya ombaomba sitini (60) wamekamatwa katika msako wa ombaomba unaoendelea katika jiji la Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Grace Magembe alipokuwa akitoa majibu ya uwepo wa ombaomba katika jiji la Dar es Salaam licha ya kuwepo kwa operesheni ya kuwaondoa.
Dk Magembe amesema bado ombaomba wamekuwa wakionekana jijini Dar es Salaam kutokana na kuwapo kwa watu wanaotoka mikoani na kuingia katika makundi ya ombaomba kila siku.
Amesema uongozi wa mkoa unashirikiana na Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kutoa elimu mikoani kuhusu operesheni ya kuwaondoa ombaomba.
Amesema ombaomba wengi wanakuja kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Awali Makonda alitangaza operesheni kubwa ya kuondoa ombaomba katika Jiji la Dar es Salaam.
aliwataka polisi kwa kushirikiana na ustawi wa jamii kuwaondoa ombaomba wote waliopo mitaani.
Pia, Makonda amepiga marufuku wananchi wanaowapa fedha ombaomba kuacha mara moja ili wajitafutie riziki wenyewe kwa kufanya biashara au kurudi mikoani kujishughulisha na kilimo.
SERIKALI KUWEKA KIPAUMBELE KATIKA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NAMTOTO NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI:.
Serikali imesema kuwa itaendelea kuweka kipaumbele cha afya ya mama na mtoto ilikuweza kuondokana na vifo vya mama namtoto ilikuweza kufikia malengo ya milenia ya 2025 yakupunguza vifo vya vitokanavyo afya ya uzazi .
Akizungumza jijini Dar es salaam waziri wa afya maendeleo yajamii jinsia wazee nawatoto Ummy Mwalimu amesema kuwa sambamba nakuweka kipaumbele kwa afya ya mama namtoto pia ,Serikali itaendelea kutilia msisitizo juu ya utunzaji wa mazingira ilikuweza kuepukana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu .
‘’Kila katika mwaka baada yamiezi kumi kumekuwa na ongezeko lawagonjwa wa kipindupindu wapatao 345 nchi nzima,hali hii imechangiwa na hali ya uchafu katika baadhi yamiji yetu ‘’Alisema Ummy
Ummy Mwalimu amesema kuwa jitihada za serikali katika kukomesha mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu haziwezi kufanikiwa endapo serikali hatoweza kuwekeza katika uboreshaji wa mazingira na afya katika maeneo yanayowazunguka wananchi .
Alisema kuwa serikali inawataka wananchi kutojisaidia ovyo nakudhibiti taka ngumu nakunawa mikono kabla nabaada ya kula chakula.
‘’Hali ya usafi inaimarika katika kipindi cha hivi karibuni baada ya Rais Magufuli kuhimiza wananchi kujenga tabia ya kufanyausafi,lakini hadi hivisasa kunachangamoto ya vifaa vya kuzolea taka ‘’Aliongeza Ummy Mwalimu
Thursday, July 14, 2016
diamond platnumz drops the most pan-african video you’ll see all week
From Mtv Base Africa==/ In 2015, Diamond Platnumz released one of his
hottest collaborations to date, a track by the name of “Kidogo” which
featured Nigerian duo, PSquare. He’s kept us waiting for a while, but
this week the current king of East African music released the video for
the hot single which has been described as the perfect track for “party
rockers”.
If ever a video deserved to be
described as truly Pan-African, it’s this one. The song was produced by
a Tanzanian producer Shirko, it features two Nigerian artists and the
music video was shot in Johannesburg, South Africa and directed by
Godfather productions.
Although the
Okoye brothers seemed to have put their quarrels aside to shoot this
video with Diamond Platnumz, reports of their falling out continue to
dominate the internet.
This week all the
talk has surrounded the brothers’ decision to rename themselves
individually, as they continue to distance themselves from the PSquare
brand. Peter Okoye is now referring to himself as “Mr P” while Paul
Okoye has changed his name to “Rudeboy” (Isn’t there already a Rudeboy
Paul somewhere else in Africa?)MAMLAKA YA BANDARI YAJIPANGA KUKUSANYA TRILIONI 1 KWA MWAKA
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA Mhandisi Deusdedit Kakoko, alipokuwa akifafanua kuhusu taratibu zinazochukuliwa na bandari hiyo ili kuhakikisha inakuwa na ushindani na bandari nyingine duniani
Amesema mamlaka hiyo imeanza kubadilisha mifumo mbalimbali hasa ile ya TEHAMA ambayo ilikuwa inachangia sana katika upotevu wa mizigo ya wateja bandarini pia kubadilisha miundo ya ufanyaji kazi na kuweka miundo mipya ya ufanyaji kazi katika bandari hiyo
Tuesday, July 12, 2016
Monday, July 4, 2016
Sallam (@sallam_sk) Atoa Sababu Ya Kuchelewa Kutoka Kwa Video Ya Wimbo Wa DIAMOND na P-SQUARE
Ijumaa na Jumamosi hii wamekuwa wakisubiri kwa hamu video ya wimbo wake
aliowashirikisha P-Square ambayo aliahidi ingetoka jana, lakini hadi
sasa kimya!!
Wengi wameonesha kukusa uvumilivu na wameanza kuelezea kusikitishwa kwao kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii.
Lakini
tumeongea na uongozi wake kutaka kujua nini sababu za kuchelewa kutoka
kwa video hiyo, na umesema kuwa kuna vitu vichache vimechelewesha na
kwamba mashabiki wasiwe na shaka kwasababu kiu yao itakatwa.
“Kuna vitu vinachelewesha ila tupo katika final touches,” meneja wa Diamond, Sallam ameiambia Bongo5.
“Ukiwapa
kitu kibaya watalalamika ni bora wafanye subira wapate kizuri zaidi,”
ameongeza. Video ya wimbo huo ilifanyika nchini Afrika Kusini na utakuwa
wimbo wa kwanza P-Square wanasikika wakiwa pamoja tangu kundi lao
kudaiwa kuvunjika. Ijumaa iliyopita Diamond alipost kwenye Instagram
picha ya mwanae Tiffah mwenye umri wa miezi 11 sasa na kuandika: On the
LONG conversation with my Miss World before Making a History.”
Ujumbe huo uliwapa matumaini mashabiki wake kuwa muda wa kuiona video hiyo umekaribia
Subscribe to:
Comments (Atom)
MASHINE ZA UMWAGILIAJI
PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657

-
Yanga SC imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera pamoja na benchi lake lote la ufundi hadi walinzi wa timu hi...
-
MSEMAJI wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids), Glory Mziray hivi karibuni alisema Mkoa wa Njombe, Mbeya na Iringa ni vinara wanaoo...