Sunday, March 23, 2014

Hizi ndizo hoteli 10 bora na za ajabu zaidi ulimwenguni... zagharimu billions of $$$$$

Hizi ni hoteli kumi ambazo kama ukipata bahati ya kulala walau kwa siku moja tu, unaweza kuhisi umeingia peponi kabla ya muda wako. Tazama picha za hoteli 10 zinazovutia zaidi duniani.

 
1. Marina Bay Sands, Singapore
2. Sheraton Huzhou Hot Spring Resort

3. Resorts World, Sentosa, Singapore
 



4. Mardan Palace, Lara, Antalya, Uturuki
 5. City Of Dreams, Macau, China



Picha: Msichana atapika pesa,vyupa,misumari,mayai na pini kanisani,Ghana….

MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini akiwa kanisani nchini Ghana
.
 Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za kishirikina.

Tuesday, March 18, 2014

M-Rap Feat. Jux - Usiende Mbali (Audio)

Zitto Z. Kabwe na Januari Y. Makamba,mnataka kumpotosha nani?

Wote wawili ni Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.Wote wawili ni Wabunge vijana kabisa tena wenye uelewa mkubwa. Wote wawili ni Wabunge machachari katika kujenga hoja na kutetea mnachokiamini.Wote wawili ni kati ya Wabunge watumiaji wakubwa wa mitandao na vyombo vingine vya habari. Nyinyi ni mfano wetu sisi vijana katika kuonyesha ya kuwa sisi vijana tunaweza.

Leo, mmechomoza 'twitter' na kuandika maoni yenu juu ya Hotuba ya Jaji Joseph Sinde Warioba alipowasilisha Rasimu ya Katiba Bungeni. Naamini wote mlikuwepo Bungeni na kupata nafasi nzuri na ya mwanzo katika kusikiliza na kuelewa alichokisema Jaji Warioba. Nyinyi mlipaswa kuelewa zaidi na kuja kutuelekeza na sisi. Lakini,mna nia ya kupotosha ukweli.

Wote mnajenga hoja kuwa Jaji Warioba ana nia ya kuuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mmeitumia Hotuba ya Jaji Warioba kujengea hoja zenu. Ndugu Makamba umekwenda mbali zaidi na kusema kuwa CCM itatumia wingi wake kuulinda Muungano. Unajaribu kuuaminisha umma kuwa Jaji Warioba anatoa hoja ya kuuvunja Muungano uliopo.

Mahali gani aliposema nia ya kuuvunja muungano? Mahali gani aliposema hautaki kuuona wala kuusikia muungano uliopo? Hapa mnajaribu kupotosha.Na hamtaweza. Kwasasa tuna uelewa na ufuatiliaji wa kutosha. Si rahisi kuturubuni na kutupotosha.

Baniani mbaya,kiatu chake dawa!

Mods, tafadhali msiuchanganye uzi huu tukisubiri majibu

Kampuni za simu, madini zaongoza kwa unyonyaji


Kwa mujibu wa sheria, mawakala hao ambao awali walikuwa wakisajiliwa na Msajili wa Kampuni (Brela) na Wakala wa Ajira nchini (Taesa), walitakiwa kuwa kiunganishi kati ya waajiri na watafuta kazi kwa kulipwa kamisheni, lakini wamekuwa wakikodisha wafanyakazi kwa kampuni hizo kinyume cha sheria.

Dar es Salaam. Kampuni nyingi za simu na za madini nchini zinadaiwa kuwanyonya wafanyakazi wao na kusababisha serikali kuamua kuingilia kati kwa kusimamia moja kwa moja usajili mpya wa mawakala wa ajira.
Kampuni hizo zinatuhumiwa kutumia mawakala kupata wafanyakazi kinyume na utaratibu wa kisheria, kuingia mikataba na mawakala hao, kuwalipa mishahara kisha mawakala kulipa wafanyakazi, ikiwa ni ujanja wa kuepuka kuwajibika moja kwa moja kwa wafanyakazi hao.
Kwa mujibu wa sheria, mawakala hao ambao awali walikuwa wakisajiliwa na Msajili wa Kampuni (Brela) na Wakala wa Ajira nchini (Taesa), walitakiwa kuwa kiunganishi kati ya waajiri na watafuta kazi kwa kulipwa kamisheni, lakini wamekuwa wakikodisha wafanyakazi kwa kampuni hizo kinyume cha sheria.
Msemaji wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwan Wema alisema jana kuwa Wizara iliamua kuingilia kati suala hilo na kusimamia moja kwa moja usajili mpya wa mawakala hao kwa kuwa ilibaini ukiukwaji mkubwa wa sheria, ikiwamo kuwanyima haki zao za matibabu, pensheni na kuikosesha Serikali mapato yanayotokana na mishahara yao.
Kampuni hizo ndizo zinazotengeneza faida kubwa na zinazojiendesha kwa gharama za juu, huku zikipata ahueni ya kodi kutoka serikalini.
Mawakala 56 binafsi wa ajira wameshajiorodhesha na wizara imeongeza miezi miwili zaidi kwa ajili ya usajili huo.

WOLPER: LAZIMA NIOLEWE NJE YA NCHI BONGO MICHOSHO TU!!!!!!

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabongo ambao hawathamini 


Akizungumza na Uwazi, Wolper alisema, amefikia uamuzi huo kwa sababu ana uchungu moyoni unaotokana na dhana waliyonayo wanaume wa Kitanzania juu yao, wakiamini kuwa ni wahuni tu hivyo kuwashusha thamani.
“Unajua Mtanzania anamchukulia staa kama chombo cha starehe tu na hawezi kumuoa kamwe na hata akimuoa basi hatamthamini kama wanavyothaminiwa wasanii wa huko nje mastaa 

Kule bwana (hajataja nchi) mtu akimuoa staa, anampa kipaumbele. Anaweza hata kutumia fedha kuhakikisha anakuwa na staa na maisha ya mke wake yanakuwa yenye amani lakini hapa kwetu tunadharaulika sana ndiyo maana nimefikia uamuzi huu,” alisema Wolper na kuongeza:
“Unajua Watanzania wanaamini staa kuandikwa magazetini ni uhuni lakini wanasahau kuwa maisha yake na magazeti ni kitu cha kawaida kwa sababu ya kujulikana. Mimi sina haja ya kueleza sana lakini naapa kabisa, mimi siwezi kuolewa na Mbongo.”

.JUX NA MTOTO MURUA MATATA KITANDANI....!!SIO UFIKIRIAVYO WEWE....!!!



Mwana muziki wa bongo flava maarufu kwajina la Jux aonekanae kwenye picha na mrembo moja kitandni hii inasemekana ni shooting ya moja ya video ya msanii huyo na huyo dada ni video queen ...inaonyesha video kunoga kama picha zao zilivyonoga..

PICHAZ..YOUNG KILLER MSODOKI NA KIFAA CHAKE WAKIFANYA YAO...HATARI SANA AISEEE....!!!


apper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali.

Monday, March 17, 2014

WATAKAOHUDHURIA HARUSI YA KIM NA KANYE HAWATARUHUSIWA KUINGIA NA SIMU, JAY Z NA BEYONCE TU RUKSA

Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa kuwa waalikwa hawataruhusiwa kuingia na Simu za mkononi wala kamera ya aina yoyote , kuepusha watu kupiga picha ama video na kuzipeleka mtandaoni kama ilivyokuwa Engagment party yao ambapo mtu mmoja alichukua video na kuipost Youtube bila ruhusa yao...Taarifa mpya zimekuja na kusema kuwa Jay z na Beyonce pekee ndio watakao ruhusiwa kuingia na Simu zao za Mkononi...
By John K

Prof. Issa shivji ampa somo jaji joseph warioba, kuhusu mamlaka ya bunge maalumu la katiba.

Tangu kuundwa kwa bunge maalumu la katiba, kumekuwa na mvutano miongoni mwa wachambuzi wa masuala ya kisiasa, wanasiasa, wanaharakati na wanasheria juu ya madaraka ya bunge maalumu katika mjadala wa rasimu ya katiba. Wapo wanaodai kwamba Bunge maalumu halina mamlaka ya kubadili misingi mikuu ya rasimu huku wengine wakidai Bunge hilo ni chombo kikuu cha uwakilishi wa wananchi hivyo lina mamlaka ya kubadili hata misingi ya rasimu iliyopendekezwa na tume ya mabadiliko ya katiba kwa maslahi ya Taifa. Ifuatayo ni sehemu ya uchambuzi wa Prof. Shijvi, katika makala yake ya yenye kichwa cha habari "Dhana na maana ya Bunge Maalumu la Katiba". Ninanukuu...

Mheshimiwa Warioba katika hotuba yake aliyotoa katika mkutano wa Tanzania Centre for Democracy amejenga hoja kama ifutavyo:

"Madaraka ya Bunge Maalum yanakuwa na mipaka endapo Rasimu ya Katiba imeandaliwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba au Chombo cha aina hiyo. Bunge Maalum linaweza kuwa huru kurekebisha baadhi ya masharti yaliyomo kwenye rasimu ya Katiba lakini si suala la kawaida Bunge Maalum kubadili hoja ya msingi. Jinsi ushirikishaji wa Wananchi unavyokuwa wa wazi na mpana ndivyo madaraka ya Bunge Maalum yanavyopungua. Mantiki ni kuzuia Bunge Maalum kunyang’anya madaraka ya Wananchi, yaani “act of popular sovereignty”. Watalaam wa masuala ya Katiba, wanaeleza kuwa madaraka ya Bunge Maalum katika mazingira haya ni kuboresha Rasimu ya Katiba. Imenukuliwa kutoka Majadiliano ya Bunge (HANSARD), Taarifa Rasmi, Mkutano wa Sita, 25 Aprili-28 Aprili, 1977, uk. 11.

… Kanuni za Bunge Maalum la Katiba sharti zizingatie kwamba Bunge Maalum, kwa mujibu wa madaraka liliyopewa chini ya kifungu cha 25(1) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, sura ya 83, ni chombo cha kuboresha masharti ya Rasimu ya Katiba.

Katika kutekeleza madaraka ya kujadili na kupitisha masharti ya kikatiba, Bunge Maalum litazingatia msingi kwamba masharti ya kikatiba ndani ya Rasimu ya Katiba ni taswira, dira na ndoto za wananchi ambazo zimeelezwa kupitia maoni ya mwananchi mmoja mmoja na makundi ya wananchi kupitia asasi, taasisi, jumuiya na makundi ya Watu wenye malengo Yanayofanana. Bunge Maalum litafanya kazi ya kuboresha masharti ya Kikatiba yaliyomo ndani ya Rasimu ya Katiba pasipo kuweka masharti mapya ambayo kwa taathira yake yanabadilisha au kufifisha masharti ya kikatiba yaliyomo kwenye rasimu ya Katiba (uk. 10-11)".

Tunaweza tukajumuisha hoja kuu za Mhe. Warioba kama ifuatavyo:

1. Madaraka ya Bunge maalum kubadilisha misingi mikuu ya rasimu au la inategemea nani aliandika rasimu. Kama Bunge lenyewe limeandika rasimu, Bunge lina madaraka hayo, lakini kama rasimu imeandaliwa na ‘Tume ya Mabadiliko ya Katiba au Chombo cha aina hiyo’, Bunge Maalum linaweza kuirekebisha na kuiboresha lakini sio kubadilisha misingi yake.

2. Hoja hii inatokana na ukweli kwamba wananchi wameshiriki kutoa maoni yao yaliyowekwa katika rasimu. Bunge likibadilisha misingi itakuwa sawa na kunyang’anya ‘madaraka ya Wananchi, yaani “act of popular sovereignty”. Hii maana yake halisi ni kwamba utoaji wa maoni mbele ya Tume ilikuwa “act of popular sovereignty” ya wananchi; maoni yao ni kielelezo cha mamlaka yao.

3. Hoja hizi kuu ni kwa mujibu wa (a) ‘Wataalam wa masuala ya Katiba’; na (b) kifungu cha 25(1) cha sheria ya Mabadiliko ya. Katiba, Sura ya 83. Kutokana na hoja hizi za Mhe. Warioba, anatoa maelekezo kwamba Kanuni za Bunge Maalum zitakazotungwa na Bunge Maalum lenyewe ‘sharti zizingatie kwamba Bunge maalum … ni chombo cha kuboresha masharti ya Rasimu ya Katiba.’

UCHAMBUZI WA PROF. SHIVJI KUHUSU HOJA ZA JAJI WARIOBA NA TUME YAKE.

"1. Kuhusu madaraka ya Bunge kutegemea mchakato: Maelezo ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba katika Mkutano wa Tanzania Centre for Democracy, kuhusu Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba Mpya: Whitesands Hotel, Dar es Salaam, 12 Februari, 2014.

Kama nilivyoeleza hapo juu, historia ya dhana ya Bunge Maalum (constituent assembly) inasisitiza kwamba Bunge Maalum ni mwakilishi wa mamlaka (sovereignty) ya watu. Kujitungia katiba yao ni kwa mujibu wa mamlaka (sovereignty) ya watu. Kwa kuwa mamilioni ya wananchi hawawezi kukaa chini ya mti na kujadili na kuandika katiba yao, wao wanachagua wajumbe wao na wanawatuma kufanya kazi moja hii ya kuwatungia katiba. Rasimu yenyewe ya Katiba inaweza kuandikwa na kamati iliyoteuliwa na Bunge lenyewe (kama ilivyokuwa India katika kuandika katiba yao ya 1950) au rasimu inaweza kuandaliwa na kuandikwa na Tume (kama ilivyokuwa Uganda 1995). Lakini hii haibadilishi dhana na maana ya Bunge Maalum au kuweka mipaka ya madaraka ya Bunge Maalum. Katika mifano hii yote miwili, Bunge Maalum lilibadilisha mambo makubwa katika rasimu. Ukweli ni kwamba, mchakato wa Uganda haukuwa tofauti kubwa sana na mchakato wetu.

Tume ya Katiba ya Uganda chini ya Jaji Mkuu ilikusanya maoni na kuandaa rasimu pamoja na Taarifa ya uchambuzi wa kina (juzuu tatu, zaidi ya ukurasa 1000). Lakini mikono ya Bunge Maalum haikufungwa na rasimu bali Bunge lilijadili mambo mengi sana ya msingi kinyume kabisa na misingi ya rasimu. Kwa mfano, kulikuwa na sauti nzito kutoka kwa wawakilishi wa Buganda ambao walitaka muundo wa shirikisho (federal structure) badala ya muundo wa serikali moja (unitary state). Hata hivyo, hakuna yeyote katika Bunge hili – na lilikuwa na wanasheria waliobobea, akiwemo marehemu Profesa Nabudere - aliopinga kwa msingi kwamba mjadala ule ulikuwa ni batili kwa sababu ulikuwa unapinga misingi ya rasimu. Kulikuwa pia mjadala mkali kuhusu mfumo wa vyama vingi badala ya mfumo wa ‘movement system’ uliopendekezwa na Tume. Kwa hili pia, hakuna aliyepinga kwa msingi kwamba mjadala ulikuwa kinyume cha sheria au taratibu kwa sababu rasimu iliandaliwa na Tume kutokana na maoni ya wananchi. Isitoshe, pendekezo la Tume lililotokana na maoni ya wananchi kuwa na ‘National State Council’ kusuluhisha migogoro kati ya mihimili ya dola lilitupiliwa mbali na Bunge maalum, tena kwa sauti moja.

Kwa kujumuisha, ni wazi kwamba mchakato wenyewe wa kuandika rasimu ya katiba unaweza kutofautiana kutokana na hali halisi. Lakini mchakato haubadilishi mamlaka ya Bunge Maalum au kuathiri dhana yake kama chombo mahsusi cha wananchi.

Ingawa kisiasa, Bunge Maalum lililochaguliwa moja kwa moja na wananchi linakuwa na uhalali zaidi na hadhi ya juu kabisa, katika hali halisi, kutokana na uwiano wa nguvu za kitabaka na makundi katika jamii, wanaoingia katika Bunge Maalum wanaweza wakapatikana kwa njia mbalimbali, ikiwemo kuteuliwa, kama tutakavyoona hivi punde. Hata hivyo, bila kujali nani ni wajumbe wa Bunge la Katiba, kisheria dhana na hadhi ya Bunge Maalum haibadiliki. Angalia Ben Nwabueza, Constitutional Democracy in Africa, vol. 1, Ibadan: Spectrum Books, uk. 195-198. Angalia pia Mahendra P. Singh, V. N. Shukla’s Constitution of India, 9th edn. Lucknow: Eastern Book, uk. A- 24- A-25. Angalia David Mukholi (1995) Uganda’s Fourth Constitution: History, Politics and Law, Kampala: Fountaion Publishers, uk. 49)

2. Kuhusu ushirkishaji wa watu kutoa maoni: Hoja hii ya Mhe. Warioba kwa kweli ni kuhalalisha pendekezo la Tume la serikali tatu, ambalo ni msingi mkuu wa rasimu. Hoja ni kwamba pendekezo hili limetokana na wananchi wenyewe. Niseme tu, kwanza, pamoja na kazi nzito iliyofanya na Tume, pamoja na kukusanya maoni ya wananchi, hii haitoshi kunyang’anya wananchi mamlaka yao ambayo wanayadhihirisha kupitia Bunge Maalum. Tume kamwe haiwezi kuwa na hadhi sawa au zaidi ya Bunge Maalum. Tume sio mwakilishi wa wananchi, wala haikuchaguliwa na wananchi, wala sio chombo cha kufanya maamuzi. Tume inatoa mapendekezo. Mapendekezo yanaweza kukubaliwa au kutupiliwa mbali.

Kama kweli jukumu la Bunge Maalum ni kuboresha tu au kurekebisha tu mapendekezo bila kubadili misingi yake, basi hatukuwa na haja ya kuwa na Bunge lenyewe. Mapendekezo ya Tume yangeenda moja kwa moja kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni.

Pili, ukiangalia kwa makini takwimu zilizotolewa na Tume yenyewe, wala sio sahihi kusema kwamba wananchi walio wengi walitaka serikali tatu. Kwa jumla, waliotoa maoni mbele ya Tume ni watu 351,664 (ang. Jedwali 3, uk. 9 ). Kati ya hao, 47,820 tu (asimilia 14) ndiyo waligusia muundo wa muungano. Asilimia 86 hawakuzungumzia muundo wa muungano kwa maana yoyote - ya serikali moja, mbili, tatu au muungano wa mkataba. Wao walikuwa na mambo tofauti kabisa kuhusu maisha yao. Isitoshe, kati ya waliogusia muundo, asilimia 30 walitaka serikali mbili, asilimia 37 walipendekeza serikali tatu, na asilimia 25 walitaka muungano wa mkataba; asilimia nane walitaka serikali moja.

Kwa hivyo, waliopendekeza serikali tatu ni theluthi moja tu ya waliogusia muundo wa muungano, na ni asilimia 5 tu ya waliotoa maoni. Waliotaka serikali mbili na muungano wa mkataba ni asilimia 55, yaani zaidi ya nusu ya waliotoa maoni juu ya muundo wa muungano. Hata ukichanganya waliotaka serikali moja na serikali mbili ni asilimia 38, inazidi kidogo wale waliotaka serikali tatu. Kwa takwimu hizi za Tume yenyewe, utasema je kwamba serikali tatu ni chaguo la wananchi na ni ‘taswira, dira na ndoto za wananchi’?
Sidhani kuna haja ya kusema zaidi juu ya hoja hii: haina mshiko wala ushahidi wa maana.

3. Kuhusu maoni ya wataalam wa kikatiba: Mhe. Warioba anadai kwamba watalaam wa masuala ya kikatiba wanaunga mkono kwamba Bunge Maalum lina mipaka ikiwa mchakato umefuata kuwa na Tume kuandaa rasimu. Bahati mbaya Mheshimiwa hakutaja majina yao wala kunukuu maandishi yao. Kwa hivyo ni vigumu kujua hao watalaam ni nani na walisema nini na katika muktadha gani.

4. Kuhusu kifungu cha 25(1) ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba: Takwimu na jedwali zote zinatokana na Takwimu za Ukusanyaji wa maoni ya Wananchi kuhusu Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Disemba, 2013.

Inadaiwa na Mhe. Warioba na wengine kwamba kifungu cha 25(1) cha sheria ya mabadiliko ya katiba kimeweka mipaka ya madaraka ya Bunge Maalum. Kifungu hiki kwa lugha ya Kiswahili kinasema: “25(1) Bunge Maalum litakuwa na mamlaka ya kujadili na kupitisha masharti ya katiba inayopendekezwa … . “ Kwa mujibu wa kifungu hiki Bunge Maalum lina uwezo wa (1) kujadili; na (2) kupitisha. Kifungu hiki hakisemi kwamba baada ya kujadili masharti ya rasimu, Bunge halina mamlaka ya kuyabadili. Yaani maana sahihi ni kwamba baada ya kujadili Bunge (a) linaweza kupitisha masharti haya kama yalivyo; au (b) kubadili, na kuyapitisha mabadiliko. Hakuna popote pale neno ‘kuboresha’ limetumika. Kama kweli nia ilikuwa ni kulipa Bunge mamlaka ya kuboresha au kurekebisha tu sheria ingesema hivyo. Kuna mantiki gani ya kujadili kama huna uwezo wa kuibadili au hata kuitupilia mbali?

Kifungu 25(1) cha Kiingereza kimeweka jambo wazi zaidi: The Constituent Assembly shall have and exercise powers to make provisions for the New Constitution of the United Republic of Tanzania … .

Maana ya ibara hii ni wazi kabisa. Bunge Maalum ndiyo chombo kinacho weka masharti ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano. Inaelekea tafsiri ya Kiswahili ni mbaya lakini mantiki yake ni ileile ya yale inayoelezwa katika kifungu cha Kiingereza.

Kwa kuhitimisha, ni wazi kabisa kwamba sheria ya mabadiliko ya katiba haikuweka mipaka ya mamlaka ya Bunge Maalum kama invyodaiwa. Na isingeweza kufanya hivyo kwa sababu sheria yenyewe ilipitishwa na Bunge la Kawaida, tena sio kwa theluthi mbili, ambayo ingeipa sheria ya mabadiliko hadhi ya sheria ya kikatiba (constitutional act). Na hatimaye pendekezo (proposed constitution) la Bunge Maalum halirudi kwa Bunge la Kawaida bali linapelekwa moja kwa moja kwa wananchi kupigiwa kura ya maoni. Kwa hivyo, wananchi watapigia kura zao juu ya pendekezo la Bunge Maalum na sio rasimu ya Tume. Rasimu ya Tume itakuwa na nafasi ya kihistoria tu, sio ya nguvu za kisheria.

Nafasi ya Bunge Maalum ni ya kipekee kabisa katika mchakato wa kutunga katiba mpya. Nafasi yake ni nzito kuliko ile ya Tume na muhimu kuliko kura ya maoni. Hii ni kwa sababu Bunge Maalum ndiyo chombo cha kufanya maamuzi mazito, sio Tume. Bunge ndiyo litapitia rasimu ibara kwa ibara, kufanya uchambuzi, kutathmini athari zake kwa Taifa, kuhakikisha kwamba hakuna migongano katika ibara, kuangalia kwa undani mfumo na muundo unaopendekezwa unatekelezeka au hapana na, muhimu kuliko yote, mfumo unaopendekezwa utaimarisha utulivu na amani na umoja wa nchi (national and territorial integrity) au utazaa vurugu, migogoro na hatimaye maangamizo ya nchi

Wachaga sasa wahamia rasmi kuajiri wahindi na wachina: Sababu nilizozipenda hizi hapa

Sasa si siri tena wachaga sasa hivi wameahamia ktk kuajiri wahindi na wachina na si wakenya waganda ai watu wengine wasio na tofauti sana na watanzania.

Sababu za msingi ni hizi: -Wahindi/wachina wanachukua msahara mdogo,hawana ndugu wala jamaa na mrafiki wengi hapa kwa hiyo sijui vikao vya send off, mazishi,mgonjwa (jirani,nyumba ndogo,ndugu etc) , sijui issue za saccos,sijui kupokea mgeni katoka mkoani etc hakuna.

Hawa jamaa wanahesimu sana waajiri wao na kila dkk wanajua inawasaidia kujua kazi zaidi na zaidi na kuongeza CV itakayo msaidia hata kairudi kwao wani pengine kwao asingepata huo uzoefu kirahisi.

Hawa jamaa wanajitahidi sana kubana matumizi na hivyo kujiepusha sana na anasa, na hupenda kukaa karibu kabisa na maeneo ya kazi ili wakipiga overtime basi baadaye wanarudi ktk malazi na hiyo ku save kiasi kikubwa cha kutuma nyumbani.

Watanzania huwa wanaingi kazini saa 3 hawajanywa chai wanawasha comp wanakwenda kunywa chai, wanakuja kuongelea mechi za jana,matukio ya siasa, na mapenzi,na issue za majirani, na kusubiriana ktk chai wapendavyo, hapo ni lunch time,wakitoka wanakwenda ktk issue binafsi, mihad,..kulipia sijui umeme,kupokea mgeni, ...etc.bila hata kula wanakuja na chakula..wakiingia wanakula kwanza hapo ni saa 9 na..baadae wanakumbuka kuwa kuna kikao cha harusi..na kupita sokoni au kupokea mgonjwa etc....wanacheki mwendo wakutoka..siku imekwisha.

Watanzania pia ni wezi na wanapoteza muda mrefu kupunguza ufanisi na vyama vya wafanyakazi ili kukushinikiza kuongeza mshahara,huku wakipoteza muda mwingine ktk mitandao ya kijamii..wakitumia computer na printer za office kuprint vitu binfasi vikiwepo kadi za michango , barua binafsi picture ,mistari ya nyimbo,hotuba na materials kwa mitihani ya bdu ya uhasibu etc.

Wakenya nao hufikiria sana jinsi gani ya kukutumia km ngazi ya kupata kazi bora zaidi,a ukuhamisha wateja na kuwapeleka kenya kwa wenzao ili wapate commion km hana kampuni ya mkononi na baaae huamia mitaani n akuwa wapinzani wako. -waganda nao km wnegine pia ufanisi wao ni wa chini km wa watanzania na wengi ni matapei sana..huku wakiangali namna ya kukutumi kmm ngazi ya kwenda kutapeli mbali zaidi..huku wizi ukiwa ni part and parcel... Kwa ujumla east africa ni wezi sana,wengine wavivu,wa siasa sana kazini.

Kwa wale wenye kuwachukia wachaga sana,na kuwaita wakabila wajue wenzao sasa hivi hawapo tena ktk undugunization,km ndugu hawezi kazi basi subiri kupewa sadaka tuu hadi akili imrudie.Na waswahili bala blah..kazini kujidai wanajua pangua hoja kwa kuongea maneno ya kurudiarudia wajue budia imebadilika.

Pengine ningependa tuu serikali ilegeze masharti ili makampuni madogo yaweze pata unafuu huu wa nguvu kazi ila yahakikishe kuwa watu wao wanalipiwa vibali,na wanaondoshwa nchini mara mikataba inaisha.Hii itasaidi maampuni madogo ya wazawa.ambayo hayawezi afford hasara ya wizi,hazara ya uzembe,hasara ya uzalishaji wa kusuasua.

Hasara yahujuma toka kwa watanzania wengine.Pia hii itasaidia kupata technologia mpya kwa hawa jamaa ambao wameshindwa pata kazi kwao ila waanchojua kwetu hakuna.wao pia watafurahi kuwa wanapata nafsi ilamwisho wa siku watanzania nao watajifunza na kubadilika kw akiasi cha kurudisha trend nyuma..ili kuweza fiti ktk survival for the fittest. -

Mimi ni mwekezaji mdogo ,napata faida nikiajiri hawa watu ,napata return of investment ya kutosha na kupunza siasa na matatizo ya ukabila,sijui udini , sijui kuwa sina huruma..etc.. Kwa leo ni hayo:
Ritz wa makelele karibu na wakabila+wadini wenzenu

Utafiti-Wanawake msichelewe kuzaa

Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo ya afya ya uzazi. Huu sio utafititi tu balo maoni ya daktari mmoja mkuu mjini Nairobi Kenya.

Athari za kuchelewa huko ni pamoja na kukumbwa na utasa, tisho la kupata Saratani ya kizazi na matiti pamoja na matatizo wakati wa kujifungua.

Wanawake wengi wanaofanya kazi huchelewa kuzaa mtoto wao wa kwanza hadi wanapofika umri a miaka 35 badala ya kuzaa wakiwa na umri wa miaka 24-28.

Hali hii inaweza kusababisha matatizo ya afya ya uzazi.
Mtaalamu wa afya ya uzazi mjini Nairobi, Daktari John Ong'ech aliyehojiwa kuhusu hoja hii alinukuliwa akisema kuwa ''wanawake kwanza wanataka kusoma masomo ambayo hayaishi, daima wako madarasani na ofisini na kuahirisha kuzaa mtoto wao wa kwanza hii ni hatari kubwa.''

Bwana Ong'ech alisema kuwa wanaochelewesha kuzaa, wanaweza kupata Fibriods au uvimbe katika kizazi, na hata kupata magonjwa kama Saratani ya kizazi au HIV.

Fibroids zinasababishwa na kuzagaa kwa homoni mwilini, kutokana na kutumia mbinu moja ya kupanga uzazi kwa mda mrefu.

Wanaochelewa kuzaa pia wanakabiliwa na tisho la kuzaa kwa njia ya upasuaji au Caesarean .

Hatari hizi ni nyingi tu, sasa chaguo ni kwako

Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

Katika hali nisioitegemea tumegongana ana kwa ana guest mi na shemeji yangu wa karibu ambae mme wake tunafanya kazi pamoja.

Mimi nikiwa nampeleka mgeni wangu kwenye chumba alichofikia mara ghafla chumba chumba cha pili mlango ulifunguliwa na kikatokea kichwa tu kugeuka tukagongana ana kwa ana huyo shemeji yangu ilichukua takriban sekunde 30 kukodoleana macho na baada kutoa salam sauti ya chini mimi niliingia chumba cha mgeni wangu kumuaga na kumtakia safari njema .

wakati natoka huku mwili ukiwa umekufa ganzi kwa kutoamini nilichokiona kwa shemeji yangu na kutambua alienipokea zamu ya lindo saa 12 jioni mke wake ana madudu niliishiwa nguvu kabisa, alikuja mhudumu wa ile guest akaniitia chemba baadae akaja jamaa ambae sikuweza kumtambua kutokana na mazingira na kunieleza kilichotokea muda mfupi uliopita anaomba iwe niifanye kuwa siri kwanza ametokanae mbali isitoshe ni mzazi mwenzie.

Na akanikabidhi elfu 70 ambayo mi nilikataa kuipokea huku nikimwambia kwasasa nahitaji kuwahi nyumbani mambo mengine tutawasiliana kwa simu ili kukwepa ushaidi niliondoka lakini hatua chache baadae ilipigwa sim kuingalia ilikuwa ya shemeji yangu akinisihi lile suala anaomba liwe siri kwa gharama yoyote ile na nimpe muda mfupi mtu wake anafanya michakato ya hela soon nitapata kwa njia ya M-pesa.

Kubwa kwangu jamaa tumetokanae mbali sana urafiki kwetu ni zaidi ya ndugu tumesoma shule ya msingi moja tumeachana sec. tumeingia depo pamoja na kupangiwa kituo kimoja yaani kama bahati tu hofu yangu ni kwamba asikie hii isue najua alaf sikumpa taarifa atanionaje mimi?

Mpaka sasa natambua kwamba ameoa na ana watoto wawili huyu jamaa ameniambia kwamba ni mzazi mwenzie nashindwa kuelewa na proces zote za uchumba mi nilihusika na sikuambia kama amezaa, katika nyakati tofauti nimeingiziwa kwa mpesa zaidi mil. 1.2 kwa saa 17
nifanyeje?

Sunday, March 16, 2014

Arsenal yailaza Tottenham Spurs 1-0


Klabu ya Arsenal leo imeimarisha ari yake ya kutaka sana kushinda kombe la ligi kuu ya Premier kutokana na bao la pekee la Tomas Rosicky ambalo limeinua zaidi matumaini ya Gunners dhidi ya Tottenham.
Rosicky aliingiza bao lake dakika chache tu baada ya mchezo kung'oa nanga. 

Mchezaji wa Tottenham Emmanuel Adebayor alijaribu bahati ya kuingiza bao katika kipindi cha kwanza Tottenham ikiwa imedhibiti mchezo ingawa hakufua dafu.
Mkwaju wake Nacer Chadli ulizuiwa kwenye msitari wa lango huku mkwaju wake Adebayor ukiwa umepoteza mwelekeo sana lakini Arsenal hawakuishiwa matumaini.
Ushindi huu una maana kuwa Arsenal wanashikilia nafasi ya tatu katika jedwali la alama lakini wakiwa nyuma ya kiongozi Chelsea kwa alama nne.
Chelsea walishindwa bao moja Bila na Aston Villa katika mechi ya

MAVAZI KATIKA OFISI ZA UMMA-UTUMISHI WATOA MWONGOZO

Wizara ya utumishi wa umma imetuma waraka unaotoa mwongozo wa mavazi kwa watumishi wote wa ofisi za umma na wananchi wote wanaohitaji huduma ktk ofs hizo.
Waraka huo namba 3 wa mwongozo wa mavazi wa mwaka 2007 unawatka wafanyakazi wote wa ofisi za umma na wananchi wote kutokuvaa mavazi yafuatayo:-
-Jeans
-Nguo zenye maandishi yoyote
-Nguo zinazobana mwili wako
-Nguo zilizo juu ya magoti (sketi/gauni)
-Kaptula
-Pedo
-Jezi za timu za mpira
-Nguo za chama chochote cha siasa
-Suruali ambazo hazijapindwa
-Blauz zinazoacha kifua/mgongo wazi
-Kuvaa mlegezo
Waraka huo ulikuwepo ila uekelezaji haukufanyika,hivyo kwanzia mwaka huu utaanza kutumika nchi nzima.
Wananchi usiende ofisi za umma ukiwa umevaa mavazi tajwa hapo juu,utaishia kufukuzwa bila kuhudumiwa...

WANAUME , FAHAMU MBINU ZA KUMPAGAWISHA DEMU KWA KUTUMIA CHUCHU ZAKE TU..CHEKI HAPA

Kuna baadhi ya wanaume tena wengi hawajui kunyonya au kuchezea matiti ya wanawake badala yake wanakuwa wanawaumiza wanawake bila kujua.
Kila k2 kinataka ujanja na utaalamu ili ukifanye kwa ufasaha sana bac leo tunafundishana jinsi ya kunyonya matiti au maziwa kama wengi wenu mnavyoita na kama una maujanja mengne waweza kutupia hapa maana lengo ni kufundishana wote maujanja ya kimapenz humu kwenye Apple Tunda la Mapenzi. Ili mwanamke asikie raha sana lazima ujue kuyachezea maziwa yake kwa ustadi wa hali ya juu,huku ukiyapapasa kwa mbali sasa cha kufanya hapa ni kitu kidogo sana na wala hutakiwi kutumia nguvu katika sekta hii.

Mweke mkao wa kula mpenz wako ambapo unajua utakuwa rahis kucheza na maziwa yake, anza kwa kuyashika shika maziwa ya mpenz wako taratbu huku unayapapasa kwa mbali na kuyabinya binya kama vile unabinya embe dodo kuckia kama limeiva na wakat unafanya hivyo usisite kuyacfia matiti ya mpenz wako, endelea kuchezea titi moja huku moja lingne anza kwa kulinyonya ziwa moja huku ukicheza juu ya chuchu taratibu na kuzungusha ulimi wako juu ya chuchu ya mpenz wako na wakat huo mkono mmoja unachezea ziwa lingne, ingiza mdomo wote huku ukiwa unamung'unya ziwa la mpenz wako kisha toa mdomo wako na ufunge na kisha weka lips zako juu ya chuchu ya mpenz wako anza kusugua lips zako juu ya chuchu huku ukizungusha lips zako juu ya chuchu na wakati huo huo ule mkono moja utakuwa unachezea ziwa moja na baada ya hapo waweza kuhamia ziwa lingne huku ukifanya kama hapo awali nilvyokueleza na ule mkono ambao ulikuwa unachezea ziwa sasa uhamishie kwenye ziwa ambalo lilkuwa linanyonywa na kisha endelea kufanya hivyo ila epuka sana kutumia meno maana meno yatamkera mpenz wako.

Kama mwanaume ni mwepesi sana wakati unanyonya ziwa moja waweza panda juu ya shingo ya mpenz wako na kuanza kuilamba huku ukiimung'unya kwa kutumia lips zako na meno kwa mbali ili kumuongezea raha mpenz wako na kisha waweza panda juu ya masikio yake na kuingiza ncha ya ulimi na kuuzungusha taratibu huku ukiyapuliza mackio ya mpenz wako kwa sauti fulan ya mihemo ya kimapenz ili kumpa raha zaid beb wako.


PHOTOS ZA MLIMBWENDE VANESSA CHETTLE KUTOKA KENYA!!






Zaidi ya asilimia 90 ya watanzania wanalala stoo najua utabisha soma hapa

Utafiti uliofanyika hivi punde unaonyesha zaidi ya 90% ya WATANZANIA

wanalala stoo,

Haiwezekani chumba cha kulala kuna

ndoo za maji ya kuoga ,ndoo za maji ya kunywa, ,Sufuria za kupikia,

Jiko la kupikia, mkaa,Sofa,TV, Dressingtable, Sabufa, Friji, kabati, kitanda, Kopo la kuogea, Jiwe la kusugulia miguu,Ndala, Viatu, N.K. Mnasemaje wenzangu siyo stoo hiyo?

MH!, KWELI WEMA KADATA KWA DIAMOND, KWA MANENO HAYA HAKUNA UBISHI, CHEKI HAPA



Hii post mpya ya Wema Sepetu kuhusu mapenzi yake kwa Diamond na Mahusiano yao Kutokuingiliwa na Watu.

Wema asema hivi "Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules…. Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime, hawakukosea at all… With all due respect stop talking shit bout my baby…. Cuz at da end of da day he is da one I love nd I aint scared to.say it…. Nd I aint gon.stop… Call me stupid, crazy or whatever but dats jus reality…. Take it or leave it…. Im out… ”

Timu ya Yanga yapata ajali Mikese



YANGA WANUSURIKA: Wachezaji wa Timu ya Yanga na viongozi wanusurika asubuhi hii kufuatia basi lao kuingia kwenye mtaro Mikese, Morogoro, wote wako salama.

Ikumbukwe Yanga jana jioni walishuka katika dimba la Jamhuri mjini Moro kuvaana na wana tam tam Mtibwa Sugar ya Manungu. Mechi ambayo iliisha kwa suluhu ya bila kufungana.

Hivi ndivyo Mtume Muhammad(s.a.w) alivyoishi na wakristo.


MUHAMMAD'S CHARTER OF PRIVILEGES TO CHRISTIANS:
LETTER TO THE MONKS OF ST. CATHERINE MONASTERY

Dr. A. Zahoor and Dr. Z. Haq

In 628 C.E. Prophet Muhammad (s) granted a Charter of Privileges to the monks of St. Catherine Monastery in Mt. Sinai. It consisted of several clauses covering all aspects of human rights including such topics as the protection of Christians, freedom of worship and movement, freedom to appoint their own judges and to own and maintain their property, exemption from military service, and the right to protection in war.

An English translation of that document is presented below.

This is a message from Muhammad ibn Abdullah, as a covenant to those who adopt Christianity, near and far, we are with them.

Verily I, the servants, the helpers, and my followers defend them, because Christians are my citizens; and by Allah! I hold out against anything that displeases them.

No compulsion is to be on them.

Neither are their judges to be removed from their jobs nor their monks from their monasteries.

No one is to destroy a house of their religion, to damage it, or to carry anything from it to the Muslims' houses.

Should anyone take any of these, he would spoil God's covenant and disobey His Prophet. Verily, they are my allies and have my secure charter against all that they hate.

No one is to force them to travel or to oblige them to fight.
The Muslims are to fight for them.

If a female Christian is married to a Muslim, it is not to take place without her approval. She is not to be prevented from visiting her church to pray.

Their churches are to be respected. They are neither to be prevented from repairing them nor the sacredness of their covenants.

No one of the nation (Muslims) is to disobey the covenant till the Last Day (end of the world).

Ushauri:
Kabla hujaanza kumtukana Muhammad(s.a.w) msome na umuelewe kutoka kwenye vyanzo vinavyoeleweka. Na kama hujaelewa uliza. Na kama baada ya hapo bado unajisikia kumtukana basi unaweza kufanya hivyo. Lakini hii tabia ya kusoma mistari miwili mitatu kwenye internet kutoka kwa watu ambao wametangaza wazi wazi chuki zao dhidi ya mtume halafu na wewe unakuja humu na kuposti bila kutafiti haijakaa njema kabisa.

Kwa maelezo zaidi google "Prophet Muhammad’s Letter to Monks of St. Catherine Monastery" juu..

NGUO FUPI YAMTOA NISHAI DADA HUYU ..AFUATWA NA MIDUME YENYE UCHU KAMA NYUKI


Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata nyuma huku mate yakiwadondoka.....Mweeeee

Kutoka Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge

Wakuu kumekucha salama, hali ni yautulivu,

Vituo vyote 230 na kata zote 13 tayari vimefunguliwa, Mawakala wa Chadema tayari wamesharipoti vituoni,

Kituko nikuwa Mwigulu asubuhi hii analindwa na polisi wenye silaha kali akiwa na msafara wa magari sita utafikiri ni rais wa nchi, sijui analindwa hivi kama Mkuu wa Green Gurd au Naibu waziri?

Ulinzi kwa upande wa Chadema umeimarishwa kama tupo Kokrovu vile, hata akatize nzi tu lazima asimamishwe na kukaguliwa.

Katika kituo cha Nzihi watu wanaoaminika kuwa ni mabarozi wa ccm wamefika nakuanza kuleta fujo, Vikosi imara vya Red Brigade vya chadema vimewatia nguvuni na polisi wakaja nakuwatia pingu mabalozi hao wawili na wakachukua mizoga yao,

Mambo mengine ni shwari kabisa hakuna uvunjifu wa amani,

Tulia upate zaidi toka uwanja wa ukombozi

UPDATES

- Wale waliopata ajali jana ambao ni Kimaro mwenyekiti wa ccm arusha mjini kwa ajali ya jana kavunjika bega,majeshi kavunjika mbavu na shingo,hawapo kabisa kwenye uwanja wa vita.

- Chopa ya Chadema ipo angani muda huu ikiwa na mgombea, mwenyekiti taifa na maafisa usalama kadhaa wa Chadema, itatua kata zote 13, na vituo vyote 230 vitakaguliwa

- Vikosi vya ulinzi vya chadema vinamshikiria gamba mmoja aliyekuwa kakamatwa asubuhi na kukabidhiwa kwa polisi lakini karudi tena kuja kufanya fujo, Red Brigade imeamua kumshikilia akae hapohapo kituo cha kupigia kura akiwa chini ya ulinzi mpaka uchaguzi uishe ili kuepusha vurugu. Pongezi kwa Red Brigade!!

- Misururu ya wapiga kura ni mirefu wengi wao ni akina mama na vijana. Kila uso unaouna unajieleza wenyewe kuwa utapiga kura kwa Mama Grace Tendega,

- Zoezi la upigaji kura linaendelea, watu wamejitokeza wengi, inatia moyo sana kwa mwamko huu,

- Vikosi vya usalama vya Chadema vimekamata watu wawili wakiwa na vitambulisho vya polisi.

- Wamechezea kichapo mno kisha kudhitibiwa mpaka uchaguzi uishe!

========
Mdau huyu anasema,

Quote By Mwalimu Razaro View Post
Wana jamvi mimi mtanzania mzalendo kwa jina naitwa mwl Razaro kaminyoge tayari nime ipigia kura chadema,mimi na familia yangu watu 4 tumetimiza wajibu wetu kama raia wema,taaluma zetu zimetupatia ufahamu kuwa cdm ndio chenye mgombea makini na mzalendo


UPDATES

Kituo Kalenga A wapiga kura 422, waliohakikiwa 288 waliojitokeza hadi sasa 13:26 ni 146. Kwa mujibu wa msimamizi

UPDATES

Wakuu, Mbunge wa Chadema aliyetekwa na kupigwa na kudharirishwa na ccm,
Mama Rose Kamili hali yake si nzuri na muda wowote anaweza kuletwa na helkopta KCMC kwa matibabu zaidi,

Tumuombee kwa Jah apone haraka na haki itendeke kwa wahalifu hao,


UPDATES:

Kituo Lukwambe kata Ulanda waliojiandikisha 299 mpaka 15.05 wamepiga 154



.............................. ......

VITUO VYAKUPIGIA KURA VIMEFUNGWA RASMI, WANAORUHUSIWA KUENDELEA KUPI KURA NI WALIOPO KWENYE FOLENI TU.

Shughuli za uhesabuji kura zitaanza mda wowote kuanzia sasa!

RAHA

RAHA has always strived to be ahead of the curve in driving innovation forward in terms of our aesthetic vision as well as our level of service. RAHA initially presented this vision on to Tanzania in March of 2012 when we rebranded and later rolled out our 4G WiMax solution.

We have also expanded our free wifi rahaSPOTS beyond Dar es salaam to Tanga and Arusha with over 40 well-known locations serving Internet loving customers. The rahaSPOTS were developed because we want people to have ease of accessibility and to stay connected no matter where they are and what they are doing.

Today RAHA mark another milestone in our history and in the industry as a whole. For the past two years the customer has evolved in how he or she perceives the world around them. Social media, Blogs, Content platforms, The cloud and the increasing integration and connectedness of daily processes to the Internet has created on population of digital natives and nationals. Consumers are no longer intimidated by the web, nor are they in need of being educated on how to use it rather they brands and service providers to respect them as globally exposed, creative, tech-savvy individuals.

With this comes a new way of looking at the world and engaging with its parts, so, in recognition of this we have challenged ourselves to evolve our brand. This is neither a rebrand nor an attempt to remain relevant but to be at the forefront in defining the trends that plenty will surely end up following.

We want RAHA to be a mirror of the Tanzanian era of digital content and resonate on a global scale. RAHA is proud to showcase our new brand featuring bold, flat illustration reminiscent of modern web design. To try and counter the premise that technology deteriorates essentially human experiences we have decided to showcase in these illustrations the opposite. We highlight the moments where technology serves as a catalyst to enabling human contact and productivity, moments where connectivity serves as a bridging force rather than a dividing one. Additionally recognizing the mobile nature of the modern user, our new website (http://www.raha.com) is entirely responsive - working on a range of devices (mobile, tablet, laptop, desktop).

Beyond the superficial, we have stayed true to our commitment to offering Tanzania the highest quality Internet and connectivity solutions available. Once again, we lead the way in ensuring we are on the cutting-edge in the services we provide. RAHA would proudly like to also mark the milestone today of having laid down an underground Fiber network across the entire Central Business District (CBD) of Dar es salaam and quickly expanding across the rest of the city and beyond. This service will provide unparalleled speeds and reliability to all of its users. Catered to consumers whose business and individual productivity relies on maximum efficiency. We are so confident about this unrivalled solution that we are offering a 110% money-back guarantee.

RAHA will continue to push the envelope and challenge ourselves in being current, cool and state-of-the-art. Itis our obsession to provide our clients with best possible solutions and user experience.

It's not enough to be a trendsetter - sometimes you have to be the trend.

Aashiq Sharrif
CEO

9th Floor, I.T. Plaza, Ohio St / Garden Avenue
P.O.Box 12933 Dar es salaam, Tanzania
+255 22 212 5230 /3/ 550 / 800

MASHINE ZA UMWAGILIAJI

 PATA MASHINE ZA UMWAGILIAJI KWA BEI NAFUU TUPO SOKO KUU LA KISUTU GOROFA YA TATU DUKA NO 44 CONTACT 0685476657